Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kupanda Mlima Kilimanjaro na figo moja

Figo Web Watapanda Mlima Kilimanjaro na figo moja

Tue, 8 Mar 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kikundi cha kuchangia figo Kidney Donor Athletes (KDA) kinachoundwa na wanachama 22 wenye figo moja kila mmoja, wanatarajia kupanda Mlima Kilimanjaro siku ya figo Duniani Machi 10, mwaka huu.

Lengo la kupanda mlima huo mrefu barani Afrika ni kuhamasisha watu kuchangia figo na kuionyesha Dunia unaweza ukawa na afya bora baada ya kutoa figo.

“Wote 22 tutafika katika kilele cha Kilimanjaro na kutumia miili yetu kuonyesha watu tuweza kufanya vitu vikubwa zaidi ya kukimbia nusu marathon baada ya kufanyiwa upasuaji,'' amesema Tracey Hulick, mwanzilishi wa KDA.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live