Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kungwi awapa somo wanawake wanaotoa harufu sehemu za siri

Kungwi Sds Kungwi awapa somo wanawake wanaotoa harufu sehemu za siri

Thu, 17 Aug 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mkufunzi maarufu wa masuala ya ndoa Mama Love Kungwi amewashauri wanawake kuzingatia usafi wa maumbile yao kabla ya kukutana na wanaume wao kwenye tendo la ndoa.

Mama Love Kungwi amesema hayo wakati akihojiwa na Diva The Bawse katika kipindi cha Lavidavi kupitria Wasafi FM.

"Mwanaume kuwa na kinyaa inatokana pengine na alivyokutana na girlfriend wa kwanza walianzana kiulokole lokeole, kuogopana na kushikana baadhi ya sehemu lakini hakuna kwenda huko deep.

"Mwanaume mwingine unakuta ameshasikia kwa marafiki zake. Wanaume mara nyingi huanzia kwenye kulambana, kisha wanakuja kumaliza shughuli. Wanaume wengi wanaogopa mwanamke ananuka, ssasa unaweza kutapika.

"Wanawake wengine sio wasafi ndio maana wanaume wengine wanashindwa, unaanza kusikia harufu za ajabu ajabu, kuna wengine wananuka automatic hata yeye hajui, akishapiga pafyume huku juu anadhani na kule pia iko kumbe hakuna. Huko hakuna pafyume, ni wewe mwenyewe naturally, nah ii ni nzuri sana na kuna raha zake," amesema Mama Love Kungwi.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live