Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Korea yaripoti vifo vya kwanza vya Covid-19

Kim Jong  6e94 Kim Jong Un

Fri, 13 May 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Maafisa wa Korea Kaskazini wamethibitisha vifo vya watu kadhaa katika mlipuko wa homa ya ajabu, ikiwa ni pamoja na mtu mmoja ambaye alipatikana na UVIKO-19 - kisa cha kwanza kuthibitishwa tangu janga hilo liibuke kwama 2019.

Mamia kwa maelfu ya raia wa Korea Kaskazini wameugua kutokana na maradhi yasiyojulikana katika wiki za hivi karibuni, shirika la serikali KCNA liliripoti siku ya Alhamisi, likiwanukuu maafisa.

Kati ya watu sita walioofariki, mmoja alibainika kuwa na maambukizi ya Omicron.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live