Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kishimba: Wagonjwa Wakopeshwe, Ukikosa Dawa Piga Simu Polisi

KISHIMBAAA?fit=1096%2C571&ssl=1 Kishimba: Wagonjwa Wakopeshwe, Ukikosa Dawa Piga Simu Polisi

Tue, 13 Apr 2021 Chanzo: globalpublishers.co.tz

Mbunge wa Kahama Mjini, Jumanne Kishimba (CCM), amesema ipo haja mtu asipopata matibabu hospitalini, apige simu polisi ili askari wawakamate watoa huduma kwa kushindwa kutoa huduma.

Amesema hayo leo Jumatatu Aprili 12, 2021 wakati akichangia Mpango wa Tatu wa Taifa wa Maendeleo wa miaka mitano (2021/22 hadi 2025/26).

Aidha, Kishimba amehoji bungeni kuwa, kama kampuni za simu zinamkopesha mtu hadi Sh. 300,000 bila hata kumuona. Kwanini serikali isiruhusu mgonjwa atibiwe kwa mkopo hospitalini?

Chanzo: globalpublishers.co.tz