Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kirusi kipya cha Novel Langya tishio China

Kirusi Kipya Cha Novel Langya Tishio China.jpeg Kirusi kipya cha Novel Langya tishio China

Thu, 11 Aug 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Wanasayansi wanafuatilia kirusi kipya kilicho athiri watu wengi mashariki mwa China, Novel Langya henipavirus (LayV) kimepatikana kwa wagonjwa 35 katika majimbo ya Shandong na Henan, wanasayansi wanadhani kwamba kirusi hiko kimetoka kwa wanyama.

Hakuna ushahidi kuwa LayV inaweza kusambazwa kati ya watu na watu, watafiti wamegundua kirusi hicho kinapatikana kwa kiumbe kama panya ‘Shrews’.

Taarifa hii ilitolewa na watafiti wa nchini China, Singapore, Australia pamoja na New England journal of medicine

Mmoja wa watafiti Wang Linfa wa Duke-NUS Medical School huko Singapore amewaambia China’s State-Run Global Times kirusi hiko cha LayV hakina athari kubwa hivyo haina ulazima kwa watu kuwa na hofu.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live