Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kirusi kipya cha Corona chagunduliwa Ufaransa

Omicron 13sss Kirusi kipya cha Corona chagunduliwa Ufaransa

Thu, 6 Jan 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Ufaransa imeripoti aina mpya Kirusi cha Corona ambacho ni B.1.640.2 au IHU ambacho kina mabadiliko 46

Kama Shirika la Afya Duniani (WHO) litathibitisha uwepo wa kirusi hicho kitaweza kuitwa 'Pi' kwani ndio herufi inayofuata baada ya Omicron

Hadi sasa ni watu 12 Nchini Ufaransa ndio wamethibishwa kuwa na maambukizi ya kirusi hicho na hakuna nchi nyingine iliyoripoti aina hiyo ya kirusi.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live