Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kigwangalla Ataka Nyungu ya Muhimbili Ivunjwe

Kigwangalla?fit=696%2C447&ssl=1 Kigwangalla Ataka Nyungu ya Muhimbili Ivunjwe

Mon, 5 Apr 2021 Chanzo: globalpublishers.co.tz

Mbunge wa Nzega Mjini, Dkt. Hamis Kigwangalla ameshauri mashine ya kujifukizia iliyowekwa Hospitali ya Muhimbili ivunjwe na watu wafauate hatua za kujikinga na #COVID19 ikiwemo kupata chanjo.

Kigwangwalla amesema wataalamu wa Afya wana jukumu la kumshauri Rais Samia na yeye kama mbunge watalizungumza bungeni ili kuanza kufuata njia za kisayansi.

Amesema si sawa kwa taasisi kubwa kama Muhimbili kuwa na mashine za kupiga nyungu, ni muhimu watu kufuata hatua a afya kama kuvaa barakoa na mengineyo.

Chanzo: globalpublishers.co.tz