Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kigoma ina wagonjwa wa corona 12

Screenshot 2021 07 10 At 15.06.07 660x400.png Kigoma ina wagonjwa wa corona 12

Sun, 11 Jul 2021 Chanzo: millardayo.com

Mkoa wa Kigoma umeripotiwa kuwa na wagonjwa 12 wa Corona ambapo wengine wamejitenga majumbani na wengine wanaendelea kupatiwa matibabu katika vituo vilivyoandaliwa maalumu kwa ajili ya kulazwa wenye Corona.

Akisoma taarifa ya utekelezaji wa miradi ya maendeleo mbele ya Kamati ya CCM, RC wa Kigoma, Thobias Andengeye amesema kanuni na taratibu za kiafya zinaendelea kufuatwa na kutoa tahadhari kwa wakazi wa Mkoa huo.

“Tuna wagonjwa 12 ambapo 6 wamelazwa na 6 wapo Majumbani wamejitenga na wanaendelea vizuri na matibabu”———RC Kigoma

KILICHOMKUTA MWANAJESHI ALIEMUUA CHATU AFUNGUKA KWA UNDANI “NINA UZOEFU NA NYOKA”

Chanzo: millardayo.com