Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

JPM AAHIDI KUTUMIA BILIONI 4.7 KUJENGA HOSPITALI YA RUFAA SONGWE

Capture 60.png?fit=594%2C493 JPM AAHIDI KUTUMIA BILIONI 4.7 KUJENGA HOSPITALI YA RUFAA SONGWE

Thu, 1 Oct 2020 Chanzo: zanzibar24.co.tz

Mgombea urais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi CCM, Dkt JOHN MAGUFULI amesema Bilioni 4.7 zitatumika kwenye ujenzi wa hospitali ya rufaa mkoani Songwe.

Mgombea urais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi CCM, Dkt JOHN MAGUFULI amesema Bilioni 4.7 zitatumika kwenye ujenzi wa hospitali ya rufaa mkoani Songwe. Amesema hospitali hiyo itakapo kamilika, kutakuwepo na huduma za kibingwa kwa magonjwa mbalimbali ikiwemo upasuaji.

Chanzo: zanzibar24.co.tz