Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

JKCI yabainisha ongezeko magonjwa ya moyo

Moyo Dalili Shida JKCI yabainisha ongezeko magonjwa ya moyo

Fri, 29 Sep 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Matatizo ya moyo yanaongezeka kwa asilimia 25 hadi 30 kwa watu wanaofanyiwa uchunguzi wa afya na Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) ambapo wanakutwa na matatizo hayo.

Matatizo ya moyo yanaongezeka kwa asilimia 25 hadi 30 kwa watu wanaofanyiwa uchunguzi wa afya na Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) ambapo wanakutwa na matatizo hayo. Hayo yamebainishwa leo Ijumaa Septemba 29, 2023 na Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa JKCI, Dk Angela Muhozya wakati akizungumza katika maadhimisho ya Siku ya Moyo Duniani yaliyofanyika jijini Dar es Salaam yakiwa na kaulimbiu ya tumia moyo wako kulinda moyo wako.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live