Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Inasikitisha mtoto alazwa kwenye oxygen miezi 10 "anakula kwa kutumia tumbo"

MTOTO MAURIN COVER 660x400 Inasikitisha mtoto alazwa kwenye oxygen miezi 10 "anakula kwa kutumia tumbo"

Thu, 17 Sep 2020 Chanzo: millardayo.com

Mairan papuu ni mtoto mwenye umri wa miezi kumi lakin amekuwa akipumua kwa kutumia oxygen kutokana  nakuugua ugonjwa wa mapafu nakupelekea kula kwa kutumia mpira kwa kutumia tumboSaada William Mhone ambaye ni bibi wa mtoto amesema tangu alipozaliwa alikuwa na tatizo la kupumua na alishindwa kunyonya“alifanyiwa mara ya tatu opereshen ya tumbo nakuwekekewa tube kwa ajili yakula na hawezi kula kwa mdomo hadi mapafu yatakapokaa sawa,watu wameweza kuchangia zaidi ya million 50 na bado anatibiwa na mpaka sasa tunadaiwa zaidi million 25,namba yakutuchangia M Pesa 0763272443”-Saada

Mairan papuu ni mtoto mwenye umri wa miezi kumi lakin amekuwa akipumua kwa kutumia oxygen kutokana  nakuugua ugonjwa wa mapafu nakupelekea kula kwa kutumia mpira kwa kutumia tumboSaada William Mhone ambaye ni bibi wa mtoto amesema tangu alipozaliwa alikuwa na tatizo la kupumua na alishindwa kunyonya“alifanyiwa mara ya tatu opereshen ya tumbo nakuwekekewa tube kwa ajili yakula na hawezi kula kwa mdomo hadi mapafu yatakapokaa sawa,watu wameweza kuchangia zaidi ya million 50 na bado anatibiwa na mpaka sasa tunadaiwa zaidi million 25,namba yakutuchangia M Pesa 0763272443”-Saada MWANAMKE DEREVA ANAYEMUENDESHA MKURUGENZI “WANAUME WANANISHANGAA,NAZUNGUKA MIKOA YOTE”

Chanzo: millardayo.com