Fri, 10 Sep 2021
Chanzo: Wasafifm
Idadi ya watoto wanaougua ugonjwa wa saratani katika ukanda wa kaskazini imeripotiwa kuongezeka maradufu na madaktari katika hospitali ya rufaa ya KCMC jijini Moshi.
Idadi ya watoto wanaougua ugonjwa wa saratani katika ukanda wa kaskazini imeripotiwa kuongezeka maradufu na madaktari katika hospitali ya rufaa ya KCMC jijini Moshi. Wameitaka jamii ichukue hatua za kubaini viashiria vya ugonjwa huo kabla haujaleta madhara zaidi. wameyasema kwenye maadhimisho ya mwezi wa Saratani yaliyofanyika kwenye hospitali hiyo.
Chanzo: Wasafifm