Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Hospitali ya Bugando yafanya maboresho Kiwanda cha Maji Tiba

Bugando (1) Ed Hospitali ya Bugando yafanya maboresho Kiwanda cha Maji Tiba

Mon, 11 Sep 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Hosptali ya Rufaa Kanda ya Bugando iliopo Mkoani Mwanza imefanya uzinduzi wa maboresho ya kiwanda cha maji tiba pamoja na uzinduzi wa maboresho ya mashine ya mionzi (MRI) ambayo itatoa huduma kwa wazee na wakina mama wajawazito.

Mkurugenzi Mkuu wa Hospitali ya Kanda ya Bugando Dkt.Fabian Massaga amesema,wanaendelea na maboresho makubwa katika sehemu mbalimbali ikiwemo kitengo cha madawa katika kukiboresha na mkakati uliopo zaidi ni kuanza kutumia teknolojia za kisasa katika kitengo hicho.

Massaga amesema, mpango uliopo kwasasa ni kuendelea na maboresho makubwa katika sehemu mbalimbali ikiwemo kitengo cha madawa katika kukiboresha na mkakati uliopo zaidi ni kuanza kutumia teknolojia za kisasa katika kitengo hicho.

Aidha amefafanunua zaidi kuhusu manufaa ya uboreshaji huo amesema, maboresho hayo yaliyofanyika katika kiwanda hicho kwa zaidi ya aslimia 90 yameweza kuokoa fedha ambazo zingetumika kununua maji tiba kutoka maeneo mengine.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live