Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Hospitali ya Bugando kuanza kupandikiza figo

Hospitali Ya Bugando Kuanza Kupandikiza Figo Hospitali ya Bugando kuanza kupandikiza figo

Thu, 14 Mar 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Hospitali ya Rufaa ya Kanda Bugando, mkoani Mwanza itaanza kutoa huduma za upandikizaji figo mwishoni mwa mwaka huu. - Daktari Bingwa Mbobezi wa Figo Bugando, Said Kanenda amesema uamuzi huo umekuja kufuatia ongezeko la wagonjwa wa matatizo ya figo, ambapo hospitali hiyo inahudumia wagonjwa wapya kati ya 15 hadi 20 kwa siku, kutoka wanne (kwa siku) wakati Bugando inaanzisha matibabu ya figo, miaka ya 1970. - Ametoa kauli hiyo leo katika maadhimisho ya siku ya figo duniani kwamba, huduma za upandikizaji figo ndiyo tiba ya uhakika zaidi.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live