Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Hospitali iliyoasisiwa na Mwl. Nyerere yaanza kufanya kazi (+video)

Screen Shot 2020 09 01 At 1.50.17 AM 660x400.png Hospitali iliyoasisiwa na Mwl. Nyerere yaanza kufanya kazi (+video)

Tue, 1 Sep 2020 Chanzo: millardayo.com

Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Mara (Kwangwa) iliyoasisiwa na Mwalimu Julius Nyerere imeanza kutoa huduma ya magonjwa ya nje (OPD) na kitengo cha Mama na Mtoto hii.

Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Mara (Kwangwa) iliyoasisiwa na Mwalimu Julius Nyerere imeanza kutoa huduma ya magonjwa ya nje (OPD) na kitengo cha Mama na Mtoto hii. Katika ya siku ya kwanza tu ya kuanza kwa huduma tayari hadi mchana August 31, 2020 Watoto watatu wamezaliwa wakiwa salama, kuna wakiume mmoja na wakike wawili ambao wamepewa na Wazazi wao majina ya Julius, Maria na Samia kwa heshima ya Mwl Nyerere, Mama Maria Nyerere na Mama Samia Suluhu Hassan.

Chanzo: millardayo.com