Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Hatari ya kula njama nyekundu na sukari ujanani

Nyama Cov 660x400 Hatari ya kula njama nyekundu na sukari ujanani

Sun, 11 Jun 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Baadhi ya wanayansi na wasomi wanasema kuwa ulaji wa nyama nyekundu na sukari ni miongoni mwa vyanzo vikuu vya kupata satarani ya utumbo mpana (Colon Cancer) katika umri mdogo.

Kwa miaka kadhaa madaktari wamekuwa wakitahadharisha kuhusu maradhi ya saratani ya utumbo mpana yanayowapata watu wenye umri wa chini ya miaka 50. Utafiti unaonyesha kuwa kesi za saratani ya utumbo mkubwa zinaongezeka kwa watu walio na umri chini ya miaka 50, huku wanasayansi wengine wakiamini kuwa ulaji wa nyama nyekundu na sukari ni sababu kuu zaidi ya kushuhudiwa saratani ya aina hii katika umri mdogo.

Wakati huo huo wanasayansi wanasema kuwa hawana uhakika juu ya nini kinasabisha ongezeko la aina hiyo ya saratani. Watafiti 18 katika wa Kliniki ya Cleveland huko Marekani wameashiria juu ya uhusiano uliopo kati ya ulaji wa nyama nyekundu na sukari, na saratani ya utumbo mpana katika umri mdogo.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live