Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Global Fund kuipatia Tanzania Tsh Bilioni 250

AdobeStock 333039083 Covid For Conversation Piece SMALL?fit=420%2C257&ssl=1 UVIKO-19

Sat, 7 Aug 2021 Chanzo: JamiiForum

Bodi ya Mfuko wa Kimataifa wa Kusaidia wa Kusaidia Mapambano dhidi ya UKIMWI, Kifua Kikuu na Malaria (Global Fund) imeidhinisha Dola Milioni 112 kusaidia Tanzania kupambana na Ugonjwa wa COVID-19

Mkurugenzi Mtendaji wa Global Fund, Peter Sands amesema Fedha zitatumika kununua PPE, mitungi ya Oxygen, kuziongezea uwezo maabara na kuboresha miundombinu

Rais Samia Suluhu Hassan amesema janga la Corona limeathiri mapambano dhidi ya Kifua Kikuu, UKIMWI na Malaria.

Chanzo: JamiiForum