Mganga Mkuu wa Serikali, Profesa Abel Makubi amewaelekeza maafisa afya na waganga wakuu wa mikoa na wilaya nchini kuhakikisha familia zinashirikishwa kikamilifu na bila hofu katika kuandaa na kufanya mazishi ya ndugu na jamaa zao waliofariki dunia baada ya kuugua ugonjwa wa corona.
Mganga Mkuu wa Serikali, Profesa Abel Makubi amewaelekeza maafisa afya na waganga wakuu wa mikoa na wilaya nchini kuhakikisha familia zinashirikishwa kikamilifu na bila hofu katika kuandaa na kufanya mazishi ya ndugu na jamaa zao waliofariki dunia baada ya kuugua ugonjwa wa corona. "Familia zishirikishwe kikamilifu bila hofu katika kuandaa na kufanya mazishi kwa heshima zote za utu." - Mganga Mkuu wa Serikali, Profesa Makubi