Shinikizo la ni msukumo wa damu unaofanya kazi kuliko inavyotakiwa kwa muda mrefu. Shinikizo la juu la damu ni mojawapo ya magonjwa ambayo huitwa jina la muuwaji wa taratibu (silent killer), magonjwa mengine ya namna hii ni pamoja na kisukari, ugonjwa wa moyo, kansa na virusi vya magonjwa ya ini.
Chanzo cha ugonjwa:
a) Uzito mkubwa na umri mkubwa wa binadamu.
b) Ongezeko la kemikali katika figo.
c) Upungufu wa madini ya potassium.
d) Unywaji wa pombe
Dalili za ugonjwa wa Shinikizo la damu la juu:
i. Maumivu ya kichwa nyakati za asubuhi,
ii. Kuchanganyikiwa,
iii. Kizunguzungu,
iv. Kutoweza kuona vizuri, v.
v. Uchovu/kujisikia kuchokachoka.
Tiba asili itakayoweza kutibu tatizo hilo ni-:
a). Maji: – Pendelea kunywa maji ya kunywa safi na sakama kila wakati. Binadamu anatakiwa kunywa maji lita tano kwa siku hivyo ukinywa maji lita nne ni vizuri pia.
b). Kula Nyanya na Karoti:- Japo ni viungo vya mboga ila ni viungo vizuri kutumia kwa kutafuna hakikisha unakula hivi mara mbili kwa siku.
c). Kitunguu suamu:- Tafuna walau pinje sita za kitunguu suamu kila siku. Itasaidia kushusha presha.
Chazno na Fadhili Paulo.