Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Fahamu jinsi ya kuondoa weusi kwapani

3503 LimaoTZW

Mon, 26 Feb 2018 Chanzo: bongo5.com

Weusi chini ya kwapa sio ugonjwa ni mabadiliko ya ngozi unapata watu wengi na kuwafanya wasiwe comfort kuvaa nguo za wazi mbele za watu. Hali ya kuwa mweusi kwapani utokana na kufa kwa baadhi ya cell, kutmia nadawa ya kunyolea na kupaka deudorant yenye alcohol.



Kuna njia za kawaida ambazo zitaweza kusaidia kuondoa weusi katika makwapa yako na kukufanya urejee katika muonekano wako zamani.

a.)Limao:- Chukua limao au ndimu kata vipande duara upake sukari au asali kwa juu ,kisha chukua hivo vipande ujipate makwapani mara 2 kwa siku acha kwa dakika 10 kabla ujaenda kuoga then osha kwa maji vugu vugu.



b.)Baking soda:-inasaidia kutoa cells zilizokufa kwa urahisi ,changanya baking soda na maji iwe nzito nzito paka kwapani acha kwa dk 10 osha na jikaushe fanya hivyo mar 2-3 kwa wiki. Endela na zoezi hilo mpaka utakapo ridhika na mabadiriko uliopata.



c.)Tango:- Tumia vipande na ujipake kwapani yale maji yake ndio dawa au saga iwe nypesi na upake ikae kwa dakika 10-20 kwa pani .



d.)Sukari:- Tumia brown sugar changanya na olive oil paka badaa ya muda osha.

e.)Mafuta ya nazi- ni tiba nzurisana na yamekuwa na mmchango wa kutosha kwani yana vitamini E yanasaidia kung’arisha ngozi paka baada ya dk 10-20 toa na kunawa kwa maji vugu vugu .



Zoezi la kuondoa weusi kwapani linaweza kuchukua muda ila hakikisha unafuata maelekezo kwani yatakupa matokeao mazuri.

Chanzo: Afya Bora kwa mtoto

Chanzo: bongo5.com