Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Dawa za kuzuia virusi vya Ukimwi kabla ya kujamiiana zinapatikana

Chanjo Ya Ukimwi Vvu.jpeg Dawa za kuzuia virusi vya Ukimwi kabla ya kujamiiana zinapatikana

Sun, 18 Sep 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mwenyekiti wa Bodi ya Tume ya Kudhibiti UKIMWI Tanzania (TACAIDS), Dkt. Hedwiga Swai amesema kwa sasa kuna dawa za UKIMWI ambazo mtu anaweza kutumia kabla ya kufanya tendo la ndoa ili kumkinga na maambukizi.

Mwenyekiti wa Bodi ya Tume ya Kudhibiti UKIMWI Tanzania (TACAIDS), Dkt. Hedwiga Swai amesema kwa sasa kuna dawa za UKIMWI ambazo mtu anaweza kutumia kabla ya kufanya tendo la ndoa ili kumkinga na maambukizi. Ameongeza pia kuwa watu wanaweza kufika TACAIDS kupata dawa za kuzuia maambukizi ya UKIMWI endapo mtu amepata majeraha yoyote yanayoweza kusababisha maambukizi hayo.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live