Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Corona imechochea ongezeko la vifo vitokanavyo na Malaria

53445581 303 660x394.jpeg Corona imechochea ongezeko la vifo vitokanavyo na Malaria

Tue, 7 Dec 2021 Chanzo: millardayo.com

Shirika la Afya Duniani (WHO) limesema vikwazo katika Huduma ya Afya vilivyotokana na janga la COVID-19 vimepelekea vifo 69,000 zaidi vya Malaria mwaka 2020, ikilinganishwa na mwaka uliopita

Takriban watu 627,000 ulimwenguni, wengi wao watoto wadogo kutoka Mataifa masikini ya Afrika walifariki dunia kutokana na Malaria mwaka 2020 wakati idadi ya mwaka 2019 ilikuwa 558,000

Wataalamu wanatarajia mapambano dhidi ya Malaria yanaweza kuimarika baada ya WHO kuidhinisha Chanjo ya RTS, S (Mosquirix) na kupendekeza itolewe kwa Watoto Barani Afrika.

Chanzo: millardayo.com