Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

#CmicronVirus: Pfizer na Biontech Waanza Majaribio ya Chanjo ya #Cmicron

Omicron Chanjo.png #CmicronVirus: Pfizer na Biontech Waanza Majaribio ya Chanjo ya #Cmicron

Wed, 26 Jan 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kampuni ya Dawa ya Marekani Pfizer na mbia wake wa Ujerumani BioNTech zimetangaza kuanza majaribio ya maabara ya chanjo ya #COVID19 ambayo imeundwa maalumu kudhibiti Omicron.

Majaribio yatajumuisha watu Zaidi ya 1,400 wenye Afya na umri kati ya miaka 18 hadi 55. Watafiti wamewagawa watu waliojitolea kufanyiwa majaribio katika makundi matatu.

Kundi la kwanza ni waliopata chanjo mbili za awali, kundi la pili ni waliopata chanjombili na booster, na kundi la tatu linajumuisha wasipata chanjo.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live