Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

"Chanzo zote ni salama" Mbunge Hamisi Kigwangalla

WDDDD "Chanzo zote ni salama" Mbunge Hamisi Kigwangalla

Mon, 26 Jul 2021 Chanzo: millardayo.com

Ni July 26, 2021 ambapo Mbunge wa Nzega Vijini, Hamisi Kigwangalla  anamiliki vichwa vya habari baada ya kusema Chanjo ya kujikinga na Ugonjwa wa Corona (Covid-19) ni salama.

Mbunge huyo kupitia ukurasa wake wa twitter aliyaandika haya..”Usijiulize ukapate chanjo gani. Siyo swali la muhimu sana Kwa sasa. Chanjo zote ni salama na zinafanya kazi. Chanjo zimefanyiwa utafiti na hazina madhara yoyote yale ya kutisha kwa binadamu. Chanjo yoyote itakayokuja mbele yako, ipokee. Itumie!”-Hamis Kigwangalla

“Nimelala salama na nimeamka salama. Alhamdulillah. Kila kitu kiko sawa, hakuna kilichopungua wala kuongezeka mwilini zaidi ya ‘amani ya moyo’. Niko vizuri, ikiwa ni masaa zaidi ya 40 toka nipate chanjo ya Corona. Chanjo ni salama kabisa! Jiandae kupata chanjo yako.“-Hamis Kigwangalla

CORONA TANZANIA: VIFO 29, WAGONJWA WAPYA 176 NDANI YA SIKU MOJA

Chanzo: millardayo.com