Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Chanjo ya Nne Yaanza Kutolewa kwa Wazee

Chanjoo Ed Chanjo ya Nne Yaanza Kutolewa kwa Wazee

Tue, 4 Jan 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Watu wenye umri wa kuanzia miaka 60 wameanza kupewa 'booster' ya pili ambayo inafanya iwe chanjo ya nne ya #COVID19.

Misululu ya watu imeonekana katika Vituo vya Afya mjini Tel Aviv ili kupata chanjo baada ya maambukizi ya Omicron kuenea kwa kasi nchini #Israel.

Watu wengine wanaopewa kipaumbele cha kupata chanjo ya nne ni wote waliohatarini kupata maambukizi ikiwemo wahudumu wa Afya.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live