Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Bei za dawa sasa kudhibitiwa

56a5f8a6660e921010470957b5c30b1e Naibu Waziri wa Afya, Godwin Mollel

Thu, 2 Jun 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Serikali imeandaa kanuni za kudhibiti bei za dawa na tayari zimewasilishwa kwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali.

Naibu Waziri wa Afya, Godwin Mollel, ameyasema hayo bungeni mjini Dodoma leo akijibu swali la mbunge wa Viti Maalum, Mwanaisha Ulenge aliyetaka kujua kuhusu bei elekezi ya vifaa tiba haswa vya macho, pua na koo.

Mollel amesema bei elekezi za vifaa tiba zitaandaliwa mara baada ya kukamilika kwa kanuni za bei za dawa elekezi.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live