Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Babu Tale, Makamba wazungumzia hali ya Prof. Jay

AUD 20220114 WA0129 Babu Tale, Makamba wazungumzia hali ya Prof. Jay

Sun, 20 Feb 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mbunge wa Morogoro Vijijini, Hamisi Shaban Taletale ambao wapo katika Kamati ya kudumu ya Bunge ya Huduma na Maendeleo ya Jamii (CCM) na Salome Makamba (Viti maalum CHADEMA) wamezungumzia hali ya kiafya ya mbunge wa zamani Morogoro Mikumi, Prof. Jay ambaye amelazwa katika wodi ya Sewahaji Hospitali ya Taifa Muhimbili ambapo kwa pamoja wamesema kuwa hali yake inaendelea vizuri na hivyo watanzania waendelee kumuombea.

Mbunge wa Morogoro Vijijini, Hamisi Shaban Taletale ambao wapo katika Kamati ya kudumu ya Bunge ya Huduma na Maendeleo ya Jamii (CCM) na Salome Makamba (Viti maalum CHADEMA) wamezungumzia hali ya kiafya ya mbunge wa zamani Morogoro Mikumi, Prof. Jay ambaye amelazwa katika wodi ya Sewahaji Hospitali ya Taifa Muhimbili ambapo kwa pamoja wamesema kuwa hali yake inaendelea vizuri na hivyo watanzania waendelee kumuombea. “Ni jambo la kumshukuru Mungu kwa hali aliyo nayo mwenzetu Prof. Jay, nimeingia wodini na ameweza kunitambua hata pia amenipa tano na hii ni kuonesha kuwa anaendelea vizuri, tuzidi kumwombea” amesema Taletale.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live