"Kuanzia miaka ya 2000 serikali ilianzisha utaratibu wa bima ya afya kwa mifuko ya bima ya afya ya umma na kampuni binafsi za bima ya afya, hata hivyo bado wananchi wengi takribani asilimia 85 wapo nje ya utaratibu wa bima ya afya kutokana na uhiari wa kujiunga na bima ya afya,
"Kuanzia miaka ya 2000 serikali ilianzisha utaratibu wa bima ya afya kwa mifuko ya bima ya afya ya umma na kampuni binafsi za bima ya afya, hata hivyo bado wananchi wengi takribani asilimia 85 wapo nje ya utaratibu wa bima ya afya kutokana na uhiari wa kujiunga na bima ya afya, "Takwimu zinaonesha kuwa hadi Septemba 2023 ni asilimia 15.3 tu ya Watanzania wote ndiyo wapo katika mfumo wa bima ya afya, NHIF 8%, CHF 6%, NSSF shib 0.3% na bima binafsi ni 1%, hivyo muswada ninaowasilisha unalenga kuimarisha mfumo wa ugharimiaji huduma za afya kupitia bima ya afya kwa wote ili kufikia lengo la huduma bora za afya," - Waziri wa Afya