Kijamii

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Lifestyle

SIL

MenuKijamiiMaoni
Articles

Uongozi wa Chelsea na ushujaa wa Mendy

E Bpi9HWUAM3OdH Mlinda mlango wa Chelsea, Eduardo Mendy

Mon, 18 Oct 2021 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kwa ngozi nyeusi kuaminika EPL hadi kupewa kazi ya ulinzi wa milingoti mitatu pale golini ni ngumu mno ila huyu mwamba anaudhihirishia Ulimwengu kuwa hata ngozi nyeusi wanajuwa tena kuliko wao. he did perform the best of his own as a result managed to secure three points to Chelsea. Hongera kwake.

Lango la Chelsea lilikuwa salama kwa dakika zote 90 chini ya ulinzi imara wa huyu mwamba. Alikuwa na timing bora, makadirio mazuri sana na kuibia hatua wapinzani mukide mnoooo kulikompelekea kufanya saves bora zilizokuja kwenye range yake kirahisi.

Kuwa golikipa haimaanishi kuwa mabeki wakishakosea tu nawewe ufungwe, hapana kipa kama kipa ni lazima uoneshe uwepo wako golini kitu kinacholeta kujiamini hata kwa mabeki zako. Edou Mendy, leo kazi ya kufukia mashimo ameifanya kiufanisi kabisa.

Ushindi utaletwa na washambuliaji ila ubingwa utaletwa na walinzi. Leo nimeanza kuona dalili za ubingwa kupitia kwa Eduardo Mendy.

Columnist: www.tanzaniaweb.live