Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

hataki Mahusiano kisa anaogopa kufanya Ngono

Tia Mowry Muigizaji kutoka Nchini Marekani, Tia Mowry

Mon, 9 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Muigizaji kutoka Nchini Marekani, Tia Mowry anadai kuwa ni vigumu kuwa kwenye mahusiano kwenye karne hii kwani Wanaume wengi hawana uvumilivu wanahitaji kufanya tendo la ndoa muda mchache baada ya kuingia kwenye mahusiano.

Mbali na hivyo amedai kuwa wanaume wengi wa sasa wanamchukulia Mwanamke kama Kifaa cha Starehe na huingia kwenye mahusiano kwa lengo fulani.

Unakubaliana nae?

Chanzo: www.tanzaniaweb.live