Lifestyle

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

SIL

Zuhura Msemaji wa Ikulu aolewa na Fumbuka Nkwabi

Zuhura Mwk Msemaji wa Ikulu aolewa na Fumbuka Nkwabi

Sat, 31 Dec 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais Ikulu Bi. Zuhura Yunus ameolewa na Fumbuka Nkwabi Mwanakilala katika ndoa iliyofungwa siku ya Alhamisi ya Desemba 29, 2022 ikiwa ni siku chache kabla ya kuukaribisha mwaka mpya wa 2023.

Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais Ikulu Bi. Zuhura Yunus ameolewa na Fumbuka Nkwabi Mwanakilala katika ndoa iliyofungwa siku ya Alhamisi ya Desemba 29, 2022 ikiwa ni siku chache kabla ya kuukaribisha mwaka mpya wa 2023. Wawili hao wamefunga ndoa katika msikiti wa Maamur, Upanga Jijini Dar es Salaam.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live