Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Zuchu noma, ashika nafasi ya tatu Afrika

Zuchu Kudhalilishwa Zuchu noma, ashika nafasi ya tatu Afrika

Fri, 2 Jun 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mrembo kutoka Wasafi Classic Baby (WCB), Zuhura Othuman 'Zuchu' amekamata nafasi ya tatu kwa kuwa na subscriber wengi zaidi YouTube.

Kwa mujibu wa mtandao wa Africa Facts Zone, Zzuchu anashika nafasi hiyo akiwa na suscribers Mil. 2.68 ambapo juu yake yupo Sherine mwenye subscribers Mil. 4.69 akishika nafasi ya kwanza huku nafasi ya pili ikishikwa na Zina Daoudia mwenye subscribers Mil. 3.46.

Haya ni mafanikio makubwa kwa Zuchu kwa kuwa hana umri mkubwa kwenye gemu kulinganisha na wasanii wengine wa kike waliomtangulia Bongo akiwemo Nandy na wengineo.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live