Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Zuchu bado anateseka kuacahan na Diamond

Zuchu Diamond(2) Zuchu na Diamond

Sat, 24 Feb 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Msanii wa Bongo Fleva kutoka Lebo ya WCB, Zuchu bado inamuuma baada ya kuachana na mpenzi wake Diamond Platnumz ambaye pia ni bosi wake.

Ukaribu wa Zari na Diamond Platnumz ulianza kuonekana zamani baada ya Wimbo wa #Mapozi Zari alionekana akiucheza wimbo huo na kuutumia kwenye video zake.

Baada ya kutangaza kuacahana na Diamond na kuandika maneno mengi akionesha kuwa mpenzi wake huyo ameshindwa kumheshimu hivyo kutengana, Zuchu amekuja na ujumbe mwingine tena kupitia Insta story yake.



Ina maana Zuchu hakuona hili jambo mapema! Licha ya yote bado Diamond Platnumz na Zuchu wanafanya kazi pamoja.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live