Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Zuchu awaomba radhi mashabiki wake

Zuchu Gauni Zuchu

Thu, 19 May 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Msanii wa Bongo Fleva, kutokea Lebo ya WCB Zuhura maarufu Zuchu kupitia ukurasa wake wa Twitter ameomba radhi kwa shabiki zake kwa usumbufu wa nyimbo yake mpya anayotarajia kuiachia hivi karibuni na kuomba mshabiki wajiandae kisaikolojia kwa ajili ya kuipokea ngoma hiyo ambayo itakuwa hit song.

Zuchu ambaye ni moja kati ya wasanii wa kike wenye uwezo mkubwa na sauti tamu katika kutema mashairi, alitambulishwa rasmi kuwa msanii wa lebo ya WCB mwaka 2020, na kati ya mafanikio yake ambayo hatuwezi kuacha kuzungumzia ni msanii wa kwanza wa kike Afrika Mashariki kufikisha subscribers milioni moja (1M) kwenye mtandao wa YouTube kwa miezi 11 tu ya kazi zake.

Zuchu amekuwa msanii anayeiwakilisha vizuris ya muziki Bongo, iwe nje ya nchi, kwenye majukwa ama kwenye digital platforms za muziki, kinda huyu anafanya maajabu.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live