Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Zuchu atangaza ujio wa Albamu yake

Zuchu Msgz Zuchu atangaza ujio wa Albamu yake

Tue, 28 May 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mwanamuziki @officialzuchu anayetamba kwa sasa na wimbo wake "Siji" amethibitisha ujio wa Album yake ambayo amesema itasumbua spika zako kwa jinsi ilivyo kalii.

Kupitia ukurasa wa Instagram wa producer @iam_trone , ambaye mara nyingi huandaa kazi zake alishea taarifa hii ambapo pia Zuchu ali-repost video hiyo kuthibitisha ni kweli kuwa wanapika kitu kikali Album na itatoka hivi karibuni.

Ikumbukwe kuwa hii itakuwa Album ya kwanza kutoka kwake kwani anamiliki tu EP " Iam Zuchu" iliyotambulishwa Mwaka 2020.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live