Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Zuchu ataka ashindanishwe na wanaume

Zuchu Mawe X.jpeg Zuchu ataka ashindanishwe na wanaume

Mon, 19 Sep 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Msanii wa Bongo Fleva, Zuhura Mohamed ‘Zuchu’ anasema kwamba kwa uandishi wake anastahili kushindanishwa na wasanii wa kiume na sio wa kike kwani atawaonea tu.

Zuchu ametoa ujumbe huo kupitia ukurasa wake wa Twitter ambapo ameandika hivi kwa kuongeza herufi kubwa kuonesha msisitizo:

"Niwashukuru wazazi wangu ni kwa ajili yenu na uwezo wa M/MUNGU TU. KWA UANDISHI WANGU YAFAA KUWEKWA KWENYE LIGI ZA WANAUME WADADA WENZANGU NTAWAONEA TU REPSCTFULLY. MY PEN GAME HARD I COULD WRITE FOR A GUY AND NOT NOTICE RELEASING TWO SONGS THIS MONTHS.”

Chanzo: www.tanzaniaweb.live