Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Zuchu apoteza begi lenye vitu vya Shoo

Zuchu Tanesco zuchu

Sun, 22 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mwanamuziki wa bongo Fleva Zuchu amedai kuwa amepoteza ‘begi’ ambalo aliweka vitu vyake vyote kwa ajili ya show ya jana usiku nchini #Rwanda.

Kupitia #InstaStory yake zuchu aliandika:

“Niko Rwanda nimepoteza bag lenye kila kitu cha show yangu ya leo ya Trace Award kuanzia mimi mpaka dancers najaribu kutafuta namna ya kuziba pengo ila mniombee, trying to stay positive”

#Zuchu alitarajiwa kutumbuiza usiku wa jana katika #TraceAward2023 nchini #Rwanda ambapo Tuzo hizo zimewakutanisha mastaa kutoka mataifa mbali mbali kama vile, #Rema, #Davido, #Diamond nk. .

Chanzo: www.tanzaniaweb.live