Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Zuchu aongoza YouTube nchi 54 za Afrika

Officialzuchu 1690803995887.jpeg Zuchu aongoza YouTube nchi 54 za Afrika

Tue, 14 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Staa wa Muziki #Zuchu ndio Msanii wa kwanza wa Kike mwenye Subscribers wengi zaidi youtube katika nchi 54 za Africa zilizopo chini ya Jangwa la Sahara.

Staa wa Muziki #Zuchu ndio Msanii wa kwanza wa Kike mwenye Subscribers wengi zaidi youtube katika nchi 54 za Africa zilizopo chini ya Jangwa la Sahara. #Zuchu ana Subscribers Milioni 3 akifuatiwa na Staa kutoka Nchini Nigeria #YemiAlade mwenye Sub Milioni 2.2.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live