Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Zuchu amlipua Mange Kimambi kisa Diamond "Koma bibi"

Zuchu Mangeeee(1) Zuchu amlipua Mange Kimambi kisa Diamond "Koma bibi"

Fri, 25 Aug 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Baada ya Mange kuibua madai kwamba Gigy Money na Diamond Platnumz ni wapenzi wa pika pakua na mara ya mwisho walipakuana nyumbani kwa Diamond wakati Zuchu akiwa ameenda kupumnzika, haya ndiyo majibu ya Zuchu kwa Mange Kimambi.

"Nilikuwa busy kidogo Mange Kimambi, ila kama kuna mtu anajua kutafuta ulaji kwa kupitia utunzi mzuri wa uongo ni wewe. Sikulala hiyo siku nilikuwa macho huko sebleni na sababu tulikuwa na mgeni ambaye ilikuwa ni lazima nikae nae na hiko chumba cha chini ni cha Tahiya asipokuwepo kinafungwa na funguo hukaa nazo mama.

"Labda walienda kisimani maana cha juu cha mama Dangote alafu da Mange mwanaume anayetaka (tusi) kwa alikotoka kooote akanase kwa Gigy Money? Ana ladha gani ya tofauti? Mpenzi, pale wameng'oka watu wazito usimpe Rouhy wangu hulka aso nayo hakuna jipya kwenye hilo tendo kwa watu wanaomzunguka tu akilitaka anaweza asile awe (tusi) tu siku nzima.

"Eti Zuchu kapigana kumtoa Gigy unaijua Zanzibar wewe vizuri and by the way mimi and Gigy we good sijawahi ata kumpiga kibao acha tu kugombana nae, na haitakuja tokea siku Zuhura apigane na mtu kisa mwanaume au yoyote yule leave me out of this fake shit maana mpaka ifikie stage napigana ujue huyo si wangu tena.

"Afu da Mange siku mojamoja unipongeze kidogo mdogo wako kukaa na Nyuklia kama ile kwa Totoz zinavyotazamia pale nilidhani utanitumia maua.

"Kakishindwaga basi silaha yake kubwa ni matusi Allah akupe wepesi kwa yanayokusumbua manjilinji weye, let me see Tanzania nzima tukuabudu au sio, sababu wewe nani yani, Mungu au?

"Watakusujudia hao unaowavua nguo na bado wakakumbilia ving'ang'anizi unawajua na huwasemi (tusi).

"Na nisipomng'ang'ania yeye nikang'ang'anie nani wewe kwa hizo bukubuku zako au kwa hilo wigi usilivua, unanunua umaarufu kwa kukera nafsi za watu utukane wazazi, watoto huna mipaka hata kidogo alafu ukijibiwa kidogo nyooooooo wanakuchonyota we bingwa eeeeeh.

"Mbona huleti fito hizo TZ umejificha kwenye kistoo Marekani nakuonaga una akili ila kuna muda kutafuta kwako riziki kusikufanye ukakera nafsi za watu koma bibi. Huna kipaji wala mtaji una kazi ya kulaani watu na kujitia Mungu mtu sema niko pale Nawaitu bin sharri muiteni nzi wenu hapa," amesema Zuchu.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live