Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Zuchu amemjibu Harmonize?

Harmonize Zuchu Anjella .jpeg Zuchu amemjibu Harmonize?

Sat, 5 Nov 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kupitia ukurasa wa Insta story wa msanii wa kike kutoka katika lebo ya muziki wa WCB @officialzuchu ameandika kuwa “Ungejitahidi kunyamaza ili kutustiri wewe na misalana uliyoamua kuibeba” Huku akimaliza na neno “NAWAITU”

Haijafahamika @officialzuchu anamanaisha nini kuhusu hii kauli yake licha ya baadhi ya mashabiki kuhusisha maneno hayo kuwa anamjibu msanii mwenzake Harmonize ambaye amesema anakaribisha watu wengine kumsaidia Anjella baada ya yeye kumsaidia vya kutosha.

Unahisi @officialzuchu ana maana gani kuandika ujumbe kama huu??

Chanzo: www.tanzaniaweb.live