Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Zuchu alia na TANESCO kukata umeme

Officialzuchu 1690803995887.jpeg Zuchu alia na TANESCO kukata umeme

Fri, 22 Sep 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Baada ya Shirika la Umeme nchini(TANESCO) kutoa taarifa ya kuwa hakutakuwa na umeme kwenye baadhi ya maeneo jiji Dar es Salaam, huku baadhi ya watu wakiwa wanalalamika kutokana na kukosa baadhi ya huduma za kijamii kutokana na ukosefu wa umeme.

Mwanamuziki Zuchu naye hajakaa kimya atoa ya moyoni kuhusiana na ukatikaji wa umeme.

Kupitia Instagram yake ameandika;

"Mnarudisha watu nyuma,mnatia watu hasira."

Chanzo: www.tanzaniaweb.live