Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Zuchu akubali kufanya wimbo na Anjella

Anjella Na Zuchu Zuchu akubali kufanya wimbo na Anjella

Sat, 6 Jan 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Baada ya Msanii Ajella kuweka wazi kuwa anatamani kufanya wimbo wa pamoja na msanii kutoka WCB, Zuchu amelikubali hilo huku akimwambia kuwa amtumie wimbo wafanye kazi.

Baada ya Msanii Ajella kuweka wazi kuwa anatamani kufanya wimbo wa pamoja na msanii kutoka WCB, Zuchu amelikubali hilo huku akimwambia kuwa amtumie wimbo wafanye kazi. Akiwa kwenye mahojiano #WasafiFm kwenye kipindi cha #FreshWeekend, Anjella alipewa nafasi ya kuchagua wasanii kati ya #Nandy, #MauaSama na #Zuchu ambae anatamani kufanya nae wimbo bila kupepesa macho akamchagua #ZUCHU huku akisema kuwa hivi karibuni walikutana kwenye moja ya studio lakini hakufanikisha kuzungumza nae kuhusu kufanya kazi ya pamoja.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live