Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Zuchu akosolewa kuvaa vibaya, acharuka

Zuchu Kudhalilishwa Zuchu akosolewa kuvaa vibaya, acharuka

Sat, 26 Nov 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Msanii wa muziki wa Bongo Fleva Zuhura Othman 'Zuchu' amejibishana na mashabiki zake mtandaoni baada ya kushauriwa abadili stylist.

Zuchu amewaonya mashabiki wake na kuweka wazi kuwa hawezi kusikiliza ushauri wao na kuwaambia wamkome.

Mashabiki wengi wamemwambia Zuchu abadili uvaaji wake maana ameshakuwa msanii mkubwa hivyo aendane na jina lake.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live