Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Zuchu ajitegeshe amzalie Diamond-Baba Levo

Diamond Na Zuchu Zuchu ajitegeshe amzalie Diamond-Baba Levo

Tue, 29 Nov 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Chawa Pro Max, Baba Levo amesema, kwa sasa mrembo Zuhura Othman 'Zuchu' anatakiwa kujilengesha fasta amzalie mpenzi wake, Nasibu Abdul 'Diamond Platnumz'.

Baba Levo ameyasema hayo mara baada ya kuulizwa kwamba kwa sasa Zuchu anatakiwa kufanya nini wakati ambao tayari, Diamond ametamka hadharani kwamba mrembo huyo ndiye mkewe.

"Aache ujinga Zuchu, ajilengeshe azae. Kuhusu ndoa ataolewa lakini sasa awe tayari kuolewa wenzake maana Diamond hawezi kuwa na mke mmoja," alisema Baba Levo.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live