Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Zuchu aeleza sababu Kumu-unfollow Esma

Zuchu Na Esma Zuchu aeleza sababu Kumu-unfollow Esma

Thu, 18 Aug 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mrembo anayefanya vizuri kutokea lebo ya Wasafi Classic Baby (WCB), Zuhura Othman Soud ‘Zuchu’ ameelezea ishu ya kumu-unfollow dada yake Diamond Platnumz, Esma Khan katika mtandao wa Instagram.

Akisimulia ishu hiyo, Zuchu anasema kulitokea tatizo kwenye simu yake na wadukuzi walitaka kufanya yao hivyo kuna baadhi ya watu aliwa-unfollow bila yeye kujua.

“Baadaye nilimpa mtaalamu wangu akarekebisha akaunti yangu na ndipo nikaona kuna watu nimewa-unfollow hivyo ninawafollow taratibu hata huyo Esma naweza nikamfollow tu,” anasema Zuchu akifanya mahojiano na Wasafi TV.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live