Menu ›
Burudani
Mon, 24 Jul 2023
Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Zuchu amewatolea povu watu wanaomponda kwamba ana ngozi mbaya yenye madoa Madoa kwa kuwaambia kuwa, hawezi kujichubua.
Zuchu ametusanua jambo hilo kupitia Insta Story yake ambapo amesema, kikubwa anachokiangalia kwenye mwili wake ni kuilinda kiasili kwa kupaka mafuta ya nazi na kamwe hana mpango wa kujichubua kama wafanyavyo wengine.
"Siwezi kujichubua ili niwe mzuri, mimi sio mdoli kwa hiyo siwezi kuwa nyororo kama mnavyotaka, najikubali nilivyo na Hii ndio Ngozi Yangu..." alisema Zuchu.
Chanzo: www.tanzaniaweb.live