Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Zuchu: Hakuna msanii aliyefanikiwa akiwa na na bifu na bosi bosi aliyemtoa

InShot 20221231 113506430 Zuchu: Hakuna msanii aliyefanikiwa akiwa na na bifu na bosi bosi aliyemtoa

Sat, 31 Dec 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Msanii kutoka WCB, Zuchu amesema kuwa hakuna msanii alie fanikiwa huku anabifu na alie mfanya afanikiwe, Wote tunajua alie mtoa kimziki Harmonize ni Diamond na harmonize alisha enda Bongo star search kuonyesha kipaji chache ila mastar J akamwambia kuwa hawezi mziki bora arudi Mtwara akauze korosho hayo ndio yalikuwa maneno ya Mastar J.

Ila toka Harmonize alipo kutana na Diamond aliweza kufanikiwa kwa kiasi kikubwa sana, cha ajabu kwenye interview ya Zuchu kwenye the Switch ameweza kusema kuwa.

“Duniani hakuna msanii alie fanikiwa huku na bifu na boss wake au mtu alie muonyesha njia ya mafanikio, Zuchu akatoa mfano wa wasanii ambao wanafanya vizuri huku wakiwa nje ya watu walio wafanya wafanikiwe ambao ni Liliwayn alivyo msaidia Nick minaj kimusic pia amemsaidia Tyga na Drake ila hujawahi sikia hao wote wana Bifu na Boss wao Liliwayni.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live