Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Zuchu Hakamatiki Huko Boom Play

Zuchu .png Zuchu

Tue, 15 Feb 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kutoka kwenye charts za mtandao wa @boomplaymusic_tz ambayo hutaja orodha ya nyimbo 100 (top100) zilizofanya vizuri kila week , ambapo wimbo wa MWAMBIENI' kutoka kwa Zuchu umefanikiwa kukamata nafasi ya kwanza katika chart hiyo ya nyimbo 100.

Katika Chart hiyo yenye nyimbo 100 zilizofanya vizuri nchini, wimbo wa Mi AMOR wa @marioo_tz umekamata nafasi ya pili ,huku UTU ya @officialalikiba ukishika nafasi ya 3.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live