Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Zuchu, Diamond walishana keki kwa mdomo

Zuchuu Mondiz52 Zuchu, Diamond walishana keki kwa mdomo

Sun, 8 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Juzi tu Mama yake na Diamond alionesha upendo Kwa Tanasha ambaye ni Aliyekuwa Mpenzi wa Diamond platnumz, ili Swala aikuwa powa kwa Zuchu kwasababu Ndugu zake na Diamond walionesha kumtenga Flani ivi Baada ya kuona Zuchu anaukaribu sana na Diamond

Juzi tu Mama yake na Diamond alionesha upendo Kwa Tanasha ambaye ni Aliyekuwa Mpenzi wa Diamond platnumz, ili Swala aikuwa powa kwa Zuchu kwasababu Ndugu zake na Diamond walionesha kumtenga Flani ivi Baada ya kuona Zuchu anaukaribu sana na Diamond Sasa Zuchu bila kukataa tamaa Jana Kwenye PARTY ya VIP unaambiwa ivi kwenye kulishana Keki, wamelishana Mdomo Kwa Mdomo tena mbele ya watu wengi uku wakiwemo Ndugu zake na Diamond, viongozi pamoja na Wasanii wenzake.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live