Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Zuchu: Diamond ndiye aliyenitoa bikra yangu

Zuchu Diamond (3).png Zuchu na Diamond.

Thu, 2 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Msanii wa Bongo Fleva, Zuchu amesema kuwa, mpenzi wake ambaye pia ni bosi wake, Diamond Platnumz ndiye mwanaume wa kwanza kumtoa usichana wake.

Akihojiwa na Wasafi TV siku chache zilizopita, Zuchu amesema kuwa Diamond Platnumz ndio mpenzi wake wa kwanza kwenye maisha yake ya mahusiano, na kudai kwamba jamaa huyo mwenye watoto wanne ndiye alimtoa bikra yake hivyo anafurahia mapenzi yao.

Zuchu na Diamond walikuwa wakificha mahusiano yao kipindi cha nyuma lakini wameamua kuyaanika hadharani kwa sasa ambapo wamekuwa wakijiachia mbele za watu na hata mbele za kamera bila kificho tena.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live